Unganishwa sasa

Unganishwa

Kama upo katika nchi ambayo Tor imezuiliwa, unaweza kusanidi Tor ili iunganishwe na bridge wakati wa mchakato wa kupangilia.

Kama Tor haijadhibitiwa, sababu moja inayoweza kuwa Tor haitaunganishwa katika mifumo ya wakati isiyo sahihi. Tafadhali hakikisha ipo sahihi.

Soma FAQ zingine katika Support Portal yetu
Kaa salama

Kaa salama

Tafadhali usipakue Tor kutoka vyanzo vingine.
Tor Browser itazuia vifaa vya kuunganisha vya nje vya kivinjari kama vile Flash, RealPlayer, QuickTime, na nyingine: zinawezza kutumiwa isivyo stahili katika kutambua anwani zako za IP.

Hatushauri kusakinisha maongezo ya ziada au vifaa vya kuweka na kutoa katika Tor Browser

Maongezo yanaweza kukwepa Tor huleta faragha. Tor Browser huwa kabisa na mfumo wa HTTPS-Only, NoScript, ili kulinda faragha na usalama wako.Angalia Muongozo wa kutumia Tor Browser kwa dondoo zaidi vya more troubleshooting.

Simama kwa ajili ya faragha na uhuru mtandaoni.

Sisi ni taasisi isiyoingiza faida na tunategemea katika wasaidizi kama wewe kusaidia kufanya imara na salama kwa mamilioni ya watu duniani kote.

Changia sasa